
Kwa waliokuwa na hamu ya kumuona
huyu naye akiwa nusu uchi na kivazi cha kuogelea tuu, huu
sasa ni wakati wao.....
“Lava Lava Video
imefikisha views 44,000+ leo.Endapo itafikisha 100,000 basi ntavua
nguo zote na kuogelea coco beach mchana kweupe lets do,”Alitweet Shaa katika mtandao wa kijamii wa Twitta na kuongeza
“Niliitupia kiutani tu nikidhani in one day kupata views elfu50 ni
ngumu…sasa naona watu wameniamkia! Kwa spidi hii…mmmh…noma,”