 |
| Picha hizi ni shindano la mwaka 2011 |
 |
MR Cbe katikati Mudi kidauku kushoto Desderi(tini tin) & Ramadhani chengula mwenye no 20:
|
Mashindano ya Mr & Miss CBE yanayofanyika
kila mwaka chuoni hapo kwa dhumuni la kumpata Mr na Miss wa chuo hicho
kwa kila mwaka: mwaka imeonekana kuwa tofauti kabisa kwa vile wanafunzi
wa chuo hicho walikuwa wakilisubiri kwa hamu na shauku kubwa sana
mashindano hayo: hivi karibuni chuon hapo walitoa matangazo kuwa
wameanza kutoa form za kushiriki lakini baada ya hapo ikawa chenge na
miyayusho ya kutokuwepo kabisa shindano hilo kwa mwaka huu:Rais wa chuo
hicho alipoongea na bossngasa.blogspot.com
alikiri kutokuwepo kwa mashindano hayo kwa mwaka huu kutokana na
serikali ya wanafunzi kutokufikia muafaka na makubaliano ya mashindano
hayo: