
Tukio
hili la kikatili limetokea huko Brazil (Cuiaba public square).
Inasemekana kuwa binti huyo mwenye miaka 22 aliuawa na watu kisha
wakamning'iniza kwa kutumia suruali yake aina ya jeans ili ionekane kama
alijinyonga.Wazazi wa binti huyo wanamshuku 'x-boyfriend' wake kuwa
muhusika wa tukio hilo kwani hawakua na maelewano baina yao siku kadhaa
kabla ya tukio.