Asubuhi ya 16/3/2013 Elizabeth Michael maarufu kama Lulu ame-break kila kitu kwa kutupia tweet ambayo hadi hivi sasa inaendelea kupata reply nyingi sana. Kwenye hiyo tweet kama inavyooneka hapo juu, Lulu amemtaja marehemu Steven Kanumba kama zaidi ya kaka,mpenzi,mume,ndugu na rafiki yake na inaonyesha anam-miss kinoma. Lulu ambaye hajawahi kumuongelea Kanumba kihivi.