Baadhi ya wanafunzi wa shahada ya
Kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) wakisikiliza kwa
makini wakati wakipewa elimu ya mazingira wakati walipoenda kupanda miti
katika Shule zilizopo Mjini Dodoma
Mmoja wa Wanafunzi wa shahada ya
Kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Dorry Michael
akipanda mti katika Shule ya Sekondari ya Itenga iliyopo Nkuhungu Mjini
Dodoma
Wanafunzi wa Shahada ya Kwanza ya
Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) wakiwa wanapanda Miti katika
Shule ya Sekondari ya Itenga iliyopo Nkuhungu,Wilaya ya Dodoma Mjini
Mkoani Dodoma
Wanafunzi wa Shahada ya Kwanza ya
Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) wakipanda miti katika Shule
ya Sekondari ya Itenga iliyopo Nkuhungu wilaya ya Dodoma Mjini Mkoani
Dodoma
Baadhi ya wanafunzi wa Shahada ya
Kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) wakiwa katika Picha
ya Pamoja na mratibu wa elimu wilaya ya Dodoma Mjini mara baada ya
Kumaliza zoezi la upandaji wa Miti katika Shule ya Sekondari Itega
iliyopo Nkuhungu, Wilaya ya Dodoma Mjini, Mkoani Dodoma.




