NEY WA MITEGO ASHOOT VIDEO YAKE MPYA AKIWA MAKABURINI...!!
Rapper mwenye mashairi ya utata, Ney wa Mitego hivi karibuni alikuwa
location kushoot video ya ngoma yake mpya ‘Wamenichokoza’. Katika kupata
kitu tofauti zaidi kwenye video hiyo, Ney ameamua kuifanyia video hiyo
makaburini. Hizi ni baadhi ya picha za behind the scenes.