Msambichaka Mwenyekiti TPA, Mollel atolewa nje

Rais Kikwete

Rais Dk. Jakaya Kikwete ameteua wenyeviti wapya wa bodi za wakurugenzi wa Mamlaka ya Bandari  (TPA) na Kampuni ya Reli (TRL).

Amemteua Profesa Joseph Msambichaka  kuwa Mwenyekiti wa TPA wakati Severine Kaombwe ameteuliwa kushika wadhifa huo katika kampuni ya TRL .
Uteuzi wa Profesa  Msambichaka ambaye ni mhadhiri wa Chuo Kikuu cha TEKU Mbeya unatengua ule wa awali wa Raphael  Mollel aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya TPA.
Taarifa ya Ikulu iliyotolewa jana Dar es Salaam  ikimkariri Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi, Penniel Lyimo, ilisema  uteuzi huo ulianza  wiki hii Janu
back to top