HEMED PHD NDANI YA "TOP 20 COUNTDOWN" YA CHOICE FM LEO JIONI
Kama wewe ni shabiki wa Hemed Phd basi leo hupaswi kukosa kumsikiliza
akitangaza kipindi cha The Countdown cha nyimbo 20 kupitia Choice Fm ya
Dar es Salaam.
Kipindi hicho huruka kuanzia saa tisa mchana mpaka saa kumi na moja
jioni.Choice Fm husikika Dar es Salaam pekee kupitia 102.5 FM na kwa
njia ya internet.