FILAMU ALIYOIGIZA SAJUKI NA WASTARA YAINGIA SOKONI....
Filamu aliyoigiza marehemu Sajuki na mke wake Wastara ‘Kivuli’ leo
imeingia sokoni rasmi. Filamu hiyo iliyotayarishwa na Wajay Film Co na
kusambazwa na kampuni ya Steps imewahusisha pia waigizaji Slim Omary na
Mohammed Said.