
Diamond Platnumz ataendelea kuwa newsmaker kuliko msanii yeyote Tanzania.
Hauwezi kupita mwezi bila kuibuka kitu kitakachomfanya aandikwe tena na tena.
Picha hii inajieleza yenyewe kwa pozi walilolaa kuwa ni wapenzi ama ni one night stand?
Hata hivyo tulipowasiliana na Penny alisema hiyo ni picha iliyopigwa walipokuwa kwenye scene ya movie wanayoigiza pamoja ambayo amesema hana uhakika lini itatoka!
Penny na Diamond ndani ya movie?????...!!? Ngoja tuisubiri hiyo movie