Rais wa bendi ya FM Academia Bw. Nyoshi El Saadat na waliokuwa wakurugenzi wa bendi hiyo miaka ya nyuma Abas Mwinyi Sadamu Hussein kushoto na Felician Chaula kulia kwa Nyoshi El Saadat pamoja na warembo mashabiki wa bendi ya FM Academia wakikata keki kwa pamoja, wakati sherehe ya Bendi hiyo kutimiza miaka 15 ya huduma yake katika kutoa Burudani nchini Tanzania, iliyofanyika kwenye klabu ya Msasani jijini na kuambatana na onyesho kubwa na la kukata na shoka lililoshirikisha Mashabiki, Wadau na watu wa karibu na bendi hiyo , huku Fullshangweblog ikikumuvuzishia moja kwa moja matukioa ya onesho hilo.
Onesho la bendi ya FM Academia
kutimiza miaka 15 tangu kuanzishwa kwake gaoa nchini linadhaminiwa na
kampuni ya simu za mkononi ya Tigo PICHA NA FULLSHANGWEBLOG.COM