Pengine huwa unajiuliza kwamba kwanini mzungu akivaa bikini na kutembea ufukweni mwa bahari hakuna anae shituka wala kupiga kelele, lakini binti wa ki afrika akivaa bikini na kutembea ufukweni au kupiga picha utasikia maneno mengi ya kumsifia, au kumsema kwamba yuko uchi.
Tatizo sio utamaduni, mila au mazoea. Ukweli ni kwamba wanaume wengi wa kiafrika huvutika zaidi wanapomuona binti wa kibantu kuliko mzungu.
Ndio
maana mwanaume anaejenga uhusiano na msichana mwembamba, si ajabu
akatafuta msichana mwingine mwenye umbile linalofanana na hilo endapo
kama ataachana na huyo aliyenae.
Ukweli huu unaungwa mkono na wanasayansi walioendesha uchunguzi maalum kutaka kujua vikolombwezo vinavyo mvutia mwanamume.
Ukweli huu unaungwa mkono na wanasayansi walioendesha uchunguzi maalum kutaka kujua vikolombwezo vinavyo mvutia mwanamume.
Hata hivyo tofauti ilijitokeza kwa wanaume waliooa wanawake wa asili/rangi tofauti. Hata hivyo wanasayansi hao walikubali pia kwamba sura na umbile la mwanamke lilisaidia kuongeza msisimko kwa namna tofauti....