Picha 9 za muonekano wa stage ya Fiesta usiku huu hapa Leaders
Hii
unayoiona kama uzio ni barabara ya Wasanii kutembea juu kwa juu mpaka
kwenye stage ya mbele lakini pia vilevile wanaweza mambo yao hapohapo
kwenye hiyo barabara… naambiwa sio taa zote zilizowashwa mtu wangu