Baadhi ya wasanii watakaotoa burudani katika usiku wa Serengeti Fiesta 2013 leo wakiwa katika pozi.
Linex katika pozi kabla ya kupanga stejini.
Prezidaa wa Bendi ya Malaika, Christian Bella akipozi ndani ya Fiesta.
Msanii Estelina Sanga 'Linah' katika pozi.
Wasanii Barnabas na Amin wakiwa katika pozi.
Wanahip hopkutoka kundi la Weusi, Joh Makini (kushoto) na G Nako katika pozi.
Msanii Young D na Rachel katika picha ya pamoja.
Baadhi ya wasanii wa kike wakiwa katika pozi.