LICHA KUKANA KUWA SI WAPENZI JACK, JUX WAVALIANA NGUO


LICHA ya kukana mara kadhaa tuhuma za ‘kukuruka kitandani’ kati ya mwanamitindo Jacqueline Patrick na msanii wa muziki wa Bongo Fleva anayejulikana zaidi kwa jina la Jux, sasa mambo ‘yameelea’ baada siku za hivi karibuni kuvuja kwa baadhi ya picha zikiwaonesha wakiwa wamevaliana nguo.


Jacqueline Patrick akiwa na Juma Khalid ‘Jux’.
“Hawa wasitufanye sisi watoto, watakuwa ‘wanatoka’ maana haiwezekeni watu wasio wapenzi wavaliane nguo kama hiyo,” aliandika mdau moja baada ya kuziona picha hizo mtandaoni huku jitihada za kuwapata wahusika hao zikigonga mwamba.
back to top