Angalia video ya kwanza kabisa baada ya watu kumuona Feza Kessy
anatoka mlangoni, pia kuna picha nyingine zaidi kwa ajili yako mtu
wangu wa nguvu.
Barbara wa Multi Choice akimuelekeza kitu Feza Kessy
Vannesa Mdee rafiki wa karibu wa Feza Kessy alikuwepo uwanjani
Wadau kutoka Multi Choice