TAZAMA PICHA ZA KILICHOJIRI KATIKA MISA YA MAZISHI YA ERASTO MSUYA,BILIONEA ALIYEPIGWA RISASI ARUSHA..

Familia ya marehemu katika ibada ya kumwaga marehemu Erasto Msuya iliyofanyika  Jumatatu huko  Sakina Arusha. IMG-20130812-WA0006 Dada wa marehemu Erasto Msuya  katika ibada ya kumwaga marehemu kaka yake Erasto Msuya nyumbani kwake Sakina Arusha.
IMG-20130812-WA0011 Mchungaji Abeli Msuya na mkewe wakitoa sala mbele ya jeneza la marehemu.
IMG-20130812-WA0008 Ndugu jamaa na marafiki wakiwa na majonzi.
IMG-20130812-WA0010 Mchungaji Mwanga akitoa neno katika ibada hiyo.
IMG-20130812-WA0007

back to top