Hizi ndio picha za kwanza kabisa kumuonyesha mtoto wa Kanye West na Kim Kardashian hadharani

*EXCLUSIVE* First pictures of Kim Kardashian since giving birth to baby North West

 Picha ya North West mtoto wa Kanye West na Kim Kardashin inaweza kuwa ndiyo picha ambayo ilikuwa inatafutwa kwa muda mrefu sana. Hatua ambayo mapaparazi wamefikia hivi sasa sio mbaya japokuwa bado wana kibarua cha kuendelea kuitafuta sura ya binti huyu.

Kanye West aliungana na Kim Kardashian a.k.a Mama N kumpeleka mtoto wao kwa doctor ambapo mapaparazi hawakuwa mbali na kuzipata picha za North West. Mtoto alikuwa amebebwa na nurse msaidizi wa hospitali hiyo huku Kanye West na Kim Kardashian wakioneka kuwa na furaha sana.
Picha hizi ndizo zina make headline kwenye mitandao yote ya udaku huko Marekani na mapaparazi wanaendelea kufanya juhudi za kupata picha ya muonekano wa binti North West

back to top