
Msimu wa Fiesta 2013 bado unaendelea kupamba moto na hivi sasa team ya
Fiesta ipo mkoani Kigoma kwa ajili ya big show weekend hii, leo kwenye
XXL ngoma official kwa ajili ya Fiesta 2013 imesikika rasmi. Kama
uli-miss kusikiliza unaweza kuisikiliza
hapa.