
Hapo jana mshambuliaji huyo alitumia ukurasa wake wa mtandao wa twitter kuuonyesha ulimwengu mnyama wake mpya ambaye anamfuga .
Mnyama huyu ni nguruwe mdogo wa kike mwenye umri wa miezi miwili na Balotelli mwenyewe anamuita Super.

Nguruwe anayeitwa Super ambaye anafugwa na Mario Balotelli.

Tweet ya kwanza kwenye ukurasa wa twitter wa Balotelli akimtambulisha nguruwe wake.

Tweet ya pili ambapo Balotelli alikuwa anamzungumzia nguruwe huyo na jinsi yake.