BREAKING NEWS: SHEIKH PONDA ADAIWA KUJERUHIWA KWA RISASI MKOANI MORO

 
Pichani juu ni baadhi ya taswira wakati wa mhadhara alipokuwa Sheikh Ponda mkoani Morogoro.
Habari zilizotufikia kutoka mkoani Morogoro zinadai kuwa Sheikh Ponda amejeruhiwa kwa risasi akiwa kwenye mhadhara mkoani humo.
Taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro, Faustine Shilogile hivi punde kupitia Radio One, amesema  kuwa mpaka sasa hajapata taarifa yoyote kuhusiana na tukio hilo la kujeruhiwa Sheikh Ponda na bado wanaendelea na uchunguzi kupata ukweli wa suala hilo.
back to top