SKENDO YA USAGAJI: BINTI WA 1992 AKILI KUA NA MAHUSIANO NA MASTAA 2 TOFAUTI
“Siwezi
kumwacha, nikimwacha ntakufa” ni maneno makali kutoka kwa binti mdogo
wa 1992 ambae amekiri kuwa yuko kwenye mahusiano sasa na binti mwenzake.Chanzo
cha habari kutoka ndani ya familia ya binti huyu (ambae jina tunalo)
mkazi wa Arusha kinasema kua amekua akiaga nyumbani anakuja Dar Es
Salaam kwa dada yake na kumbe anaishia kuwekwa kinyumba na msanii
maarufu wa bongo movie ambae ameshutumiwa mara kadhaa na vyombo vya
habari kua ni msagaji lakini hupinga swala hilo kwa macho makavu yasiyo
na aibu.