NANI MBUNGE MREMBO MWENYE MVUTO 2014?

 
Urembo na mvuto kwenye macho ya binadamu huwezi kuvitenganisha. Wakati kule mjengoni Dodoma wakiendelea kupika bajeti ya serikali ya mwaka 2014/15, Over the Weekend tunakuletea Shindano la Nani Mbungwe Mrembo mwenye mvuto 2014?

 
Vicky Kamata.
Ukiwa shabiki namba moja wa safu hii unapata nafasi ya kutuma jina au majina ya wabunge wanaostahili kuingia kwenye kinyang’anyiro hiki.
 
Halima Mdee.
Andika jina la mbunge husika kisha tuma kwenda namba 0713 750 910.
Kazi ni kwako.
 
Catherine Magige.
back to top