KOMEDIANI maarufu na Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven
Mengere ‘Steve Nyerere’ amesema anatarajia kugombea na kushinda ubunge
2015 bila kutumia fedha.
Steve Nyerere.
Akitema madini mbele ya kinasa sauti cha Ijumaa Wikienda mwishoni mwa
wiki iliyopita, Steve alisema atagombea kupitia Jimbo la Kinondoni,
lakini ieleweke kuwa hatotumia fedha katika kampeni zake.GPL.