Umeshawahi kuwaza Jokate atatokelezea vipi akiigiza movie za bongo? picha ziko hapa..

8 
Ni siku kadhaa toka alipozungumza kwenye Amplifaya ya Clouds FM na pia kupitia gazeti la Vibe Tanzania kwa kusema mapenzi yake na mcheza kikapu Hasheem Thabeet yalidumu kwa zaidi ya miaka miwili na ya Diamond hayakuchukua miezi hata miwili na kwamba kwa sasa ameamua kuwa single kitu ambacho kinamfanya awe huru pia kufanya kazi zake ikiwemo uigizaji wa movie aliouanza.

Jokate aliiambia millardayo.com badae kwamba ameanza kucheza movie na mwigizaji staa wa Tanzania, JB ambae ni mshindi wa tuzo ya mwigizaji bora wa kiume kwenye tuzo za Steps 2013.
Movie inaitwa Mikono Salama ambapo ndani yake kuna mastaa wengine kama Rich Rich, Irene Uwoya na Kuambiana.

7
6
9
10

1

4
5
back to top