Video ya Madee akiongea kuhusu kukaguliwa kwa zaidi ya dakika 45 Airtport Afrika Kusini
Ni
siku moja imepita toka msanii wa Tip Top Connection Madee kusimulia
jinsi alivyokaguliwa mpaka kuvuliwa Tshirt kwenye uwanja wa ndege
Johannesburg South Africa baada ya kujulikana kwamba ni Mtanzania.
Hii imetokea siku kadhaa baada ya Wasichana wawili wa Kitanzania
kukamatwa na dawa za kulevya kwenye kiwanja hicho cha ndege wakiwa
wanatokea Tanzania.
Kama hii stori imekupita unaweza kumtazama Madee akiongea kwenye hii video hapa chini.