Pichaz zaidi ya 20 za sehemu na vitu tofauti vya kipekee duniani


ndege
Ni kitu ambacho hata mimi mwenyewe kimenivutia, hawa watu wanafanya kazi nzuri ya kukusanya pichaz ambazo asilimia kubwa ni zile ambazo sio za kawaida machoni mwa mamilioni ya watu duniani….. kwa pichaz tu, wanatusafirsha kuona vitu na sehemu mbalimbali duniani… karibu kuuona mtiririko wa leo.

25
26 24
Hawa jamaa waliobuni muonekano wa hospitali ya Watoto Texas Marekani wametishaa…..!!23 22 2120 19 18 17 16 15
Hii aina ya’ usafiri’ wa fasta kwenye chuo cha Munich Ujerumani nayo imetisha… yani Mwanachuo hana haja ya kutumia ngazi kushuka chini kama ana haraka…. kwenye hii picha hapa chini kuna kama mabomba ambayo ndio anakaa humo alafu anatelezea tu fasta mpaka chini14 13 12 11 10 8 7 6 5 4 3 2 1Kwa info zaidi, Breaking news, habari za siasa burudani, michezo, pichaz na Magazeti mbalimbali ya kila siku Tanzania, ungana na millardayo.com na pia kuwa mwanachama kupitia facebook.com/millardayo twitter.com/millardayo na instagram.com/millardayo ili iwe rahisi kupata kila stori inayodondoshwa mtu wangu wa nguvu
back to top