DOWNLOAD NA SIKILIZA WIMBO MPYA WA NEY LEE-NIPE MUDA [PROD-MSWAKI. MP3
Habari zenu
kaka/dada/wadau wa muziki wa bongoflava. Napenda mimi Ney Lee baada ya
kutoa wimbo na video yangu ya Umekwenda, hii leo pia napenda kuwajulisha
nimetoa wimbo wangu mpya unaitwa "Nipe muda" produced by Mswaki,
imeandikwa na kuibwa na mimi mwenyewe
MSIKILIZE HAPO CHINI