Hizi ni baadhi ya picha zinazo onyesha jinsi kina dada kutoka barani
afrika wanavyo fanya biashara ya kuuza miili yao iliwaweze kujikimu
kimaisha, kwani wengi wamekuwa wakienda uko kwajili ya mambo mbalimbali
kama kusoma ama kufanya kazi lakini kutokana na ugumu wa maisha
wanaokutana nao huko dada zetu huamua kuingia katika biashara ya
ukahaba ili waweze kujikimu.