Kinachoonekana ni kwamba, BBA ni sawa na shindano la laana ambamo asilimia kubwa ya washiriki wake ni wacheza filamu chafu au watu wenye skendo mbaya....
JUZI tuliandika juu ya kuvuja kwa video chafu ya mshiriki wa shindano la Big Brother Africa ambaye ni raia wa Zimbabwe......
Mshiriki huyo ni mwanadada maarufu kwa jina la Pokello. Katika video hiyo chafu, Pokello na njemba iliyojulikana kwa jina la "Desmond Chideme " maarufu kama Stunner wanaonekana wakifanya ngono bila kutumia kinga.
Skendo hiyo imewakera sana watu wa Zimbabwe kiasi kwamba wamelazimika kutengeneza ukurasa wao maalumu wa facebook unaohamasisha kura za kumng'oa mrembo huyo pindi atakapowekwa kikaangoni....
Video hiyo ambayo ilirekodiwa kwa kutumia simu ya iphone na kubadilishwa kwenda kwenye fomati ya avi ilivuja baada ya boyfriend wa pokello kuitoa video hiyo na kumpa rafiki yake wa karibu huku akijisifu.
Upekuzi wa mtandao huu umefanikiwa kuinasa video live baada ya mtandao wa youtube kuiondoa......
Kwa kuwa walijirekodi wenyewe, acha waumbuke .....
BOFYA HAPA UONE