

Rais wazamani wa Real Mdrid ,Ramon Calderon amekuza matumaini ya Cristiano Ronaldo kufuatana na Jose Mourinho baada ya kupuuza nafasi ya Manchester United kumsajili tena Mreno huyo
Ronaldo mwenye umri wa miaka 27 yupo kwenye kinyang'anyilo cha kununuliwa kwa paundi milioni 80 baada ya kuchoshwa na jiji la Hispania
Alipo ulizwa kipepeo huyo wa Ureno alikuwa hana furaha Real Madrid Calderon alisema "Ronalda alikuwa ana machungu mwanzoni mwa msimu nafikili uhusiana wa rais wa sasa na yeye sio mzuri labda rais hapendi wachezaji alio wakuta.
Sio timu nyingi zinaweza kumlipa kile anacho stahili kulipwa na pia anae weza kuilipa Real Madrid kile wanachokitaka kuna klabu tatu Mancherest City,PGS na Chelsea.Nasifikilii klabu nyingine yoyote ina weza kulipa kiasi hicho cha fedha kwajili ya mchezaji..
Wao Real wanakwenda kujadili mkataba sasa na watafanya uamuzi.Nikitu kitakacho julikana ndani ya wiki chache,alisema United ina nafasi ya kwanza kumsajili Ronaldo ikiwa Real Madrid itakuwa tayari kumuuza nyota huyo itampa kipaumbele cha kurejea Old Trafford.