Mwakilishi kutoka Tanzania Nando
akihojiwa na Mtangazaji wa kipindi hicho Ik wakati wa uzinduzi wa show
hiyo.Kushoto patna wa Nando Mshiriki kutoka Namibia Cleo.
Mwakilishi wa Tanzania Feza Kessy
akiwasalimu mashabiki wake kwa kuwapungia bendera ya Tanzania. Kulia ni
mtangazaji wa Shindano la Big Brother The Chase 2013 Ik.
Mtangazaji IK akifanya mahojiano na
Patna wa Mwakilishi wa Tanzania Mshiriki kutoka Ghana Elikem wakati wa
uzinduzi wa Shindano la Big Brother The Chase lililozinduliwa rasmi
jana jijini Johannesburg Afrika Kusini ambapo washiriki watakaa ndani ya
jumba hilo kwa siku 90 na mshindi
kujinyakulia kitita cha Usd 300,000. Kulia ni Feza Kessy mshiriki
kutoka Tanzania.
Mtangazaji IK akimtambulisha rasmi mshiriki kutoka Tanzania Feza Kessy kwa Patna wake Mshiriki kutoka Ghana Elikem