Unajuaje
huyu Lover ametembea na Shs ngapi mfukoni kumletea migumegume yote hiyo
kumchuna? Matokeo yake ukishamegwa mwanaume hata cimu hapokei tena kwa
Mis behaviuor zenu.
Hii
nimeishuhudia kwa macho yangu jana Maeneo ya Pub moja Sinza Kumekucha
mkaka wa watu ikabidi aangaike sana tu kupiga simu kwa wenzake wammtumie M-PESA nadhani alifanikiwa coz after round ya tatu aliitisha bill akalipa wakatokomea.
-JF