RAIS KIKWETE ATOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA DKT MVUNGI

 
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo nyumbani kwa aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba na kiongozi mwandamizi wa chama cha NCCR Mageuzi, marehemu Dkt. Sengondo Mvungi huko Mbezi Kibamba jijini Dar es Salaam leo mchana.
 
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiifariji familia ya Marehemu Dkt. Sengondo Mvungi.
(Picha na Freddy Maro / IKULU)
back to top