Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akibonyeza kitufe kuashiria Uzinduzi wa
Mkutano wa Nne wa Kugawa Vitalu vya Utafutaji Mafuta na Gesi Baharini
katika Tanzania uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa
Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam siku ya jana.Kushoto ni
Waziri wa Nishati na Madini Professa Sospeter Muhongo na kulia pembeni
ya Rais ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPDC Mhandisi Joyce Kisamo.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia kwenye Mkutano wa Nne wa Kugawa
Vitalu vya Utafutaji Mafuta na Gesi Baharini katika Tanzania uliofanyika
katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini
Dar es Salaam siku ya jana.
Baadhi
ya wajumbe walihudhuria uzinduzi wa Mkutano wa Nne wa Kugawa Vitalu vya
Utafutaji Mafuta na Gesi Baharini katika Tanzania uliofanyika katika
ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es
Salaam.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwaeleza waandishi wa habari jinsi utafiti
wa Gesi na mafuta unavyofanyika baharini muda mfupi baada ya kuzindua
awamu ya nne ya Utafiti wa Gesi na mafuta uliofanyika katika ukumbi wa
Mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam
siku ya jana.Rais Kikwete aliwahi kuingoza wizara ya Nishati na Madini.
( Picha na Freddy Maro. )
GPL