NIMEPENDWA KIMAPENZI NA DADA NA MDOGO WAKE..WAMEOZA KUFA KUOZA..NILE WOTE? HELP

Mimi nilikuwa na mpenzi wangu kwa miaka 6 lakini ha2jawah kula uroda (kuvunja amri ya sita) sabauu yeye alikuwa anakaa mkoa mwingne na akija dar kwa dada yake anabanwa sana so 2kawa ha2na muda wa kusex lakini 2likuwa na ndoto za kuoana na alikuwa ananiambia yeye bikra, lakini mwezi wa 8 mwaka huu dada yake akaniambia kuwa mdogo wangu ni malaya ni ana wanaume wengi hata cm uliyo m2mia kahonga na bikra hamna, ikabidi nimbane dem wangu akakubari yote akasema nisamehe nitaachana nao wotee nakupenda wewe, nikamsamehe imepita week dada yake ananiambia leo tena amemuona na wanaume wake, sasa mimi nikamuacha nikawa nawasiliana na dada yake sana kwakweli mawasiliano yakanoga c 2kajikuta 2napendana 2katongozana dada yake anasema yeye bikra na anakuja dar mwez wa 12 lakini dada mtoto wa baaba mkubwa na mdogo sasa 2napendana lakini mdogo weake amejua na wana bifu NAOMBA USHAURI WENU NA MJAJI PIA

Regards,

back to top