MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA KIVUKO KIPYA CHA MV MALAGALASI WILAYA YA UVINZA MKOA KIGOMA

 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muumgano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rasmi Kivuko kipya cha MV Malagalasi kilichopo Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma, wakati wa hafla ya uzinduzi huo iliyofanyika siku ya jana wilayani humo.
 
 Makamu wa Rais akiwahutubia wananchi waliohudhuria hafla ya uzinduzi huo.
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohammed Gharib Bilal, akibonyeza kitufye kuashiria uzinduzi rasmi wa kivuko kipya cha Mv Malagalasi, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika siku ya jana wilayani Uvinza Mkoa wa Kigoma. Kulia ni Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Pombe Magufuli. 
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,akiwa na baadhi ya viongozi ndani ya Kivuko hicho baada ya kukizindua.
Makamu wa Rais akizunguma na wananchi wa upande wa pili baada ya kuzindua kivuko hicho.
 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, na viongozi wengine wakitelemka katika kivuko hicho baada ya kukizindua na kuvuka nacho hadi uapande wa pili.
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, na viongozi wengine wakitelemka katika kivuko baada ya kukizindua na kuvuka nacho hadi uapande wa pili.
 
Vijana wa JKT wa kambi ya Bulombora, wakitoa burudani wakati wa hafla hiyo.
 
Kivuko hicho kipya upande wa (kulia) na cha zamani vikiwa Mto Malagalasi.
 
 Sehemu ya wananchi waliojitokeza kuhudhuria hafla hiyo.
 
Kivuko cha zamani
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na vijana wa JKT.
back to top