LAANA: DANSA WA BOB JUNIOR AKUTWA AKIFANYA MAMABO YA WAKUBWA HADHARANI...! tazama picha hapa
DANCER
wa Bob Juniour anaetambulika kwa jina maarufu Nurdin A.k.a dogo T,
Akutwa live akijiandaa kufanya mambo ya wakubwa na dada huyo pichani
jina lake limehifadhiwa...!!! Dogo alishangaa ghafla mwanga wa Camera
kitu ambacho hakukitegemea na hapo ndipo zoezi lao lilipoishia, Tukio
hili lilitokea hivi karibuni katika
Glossary
flani jijini Dar Es Salaam. Kitendo hicho kimemsababishia adhabu kali
ya kutoshiriki baadhi ya show zitakazofanywa na kundi hilo lililochukua
ushindi katika mpambano wa Dance mia mia mwaka huu na kusani mkataba kwa Mr Chocolate (Bob Juniour) Rais wa Masharobaro