FULL RAHA: UWOYA AACHIA MAPAJA YAPATE UPEPO KIAINA KWENYE BONETI YA GARI LAKE JIPYAAAAAAAAA...!!! CHEKI PICHA HIZI HAPA
STAA kunako tasnia ya filamu,Irene Uwoya ameuanika mkoko wake mpya Range Rover.
Kupitia mtandao wa instagram Uwoya alipost picha za gari hilo huku akiandika… I don't care… Watasubiri sanaaaa…. My bby.
Huku watu wakicoment kwa kumpongeza kuwa huwa anaongea kwa vitendo na siyo…