
Chuchu Hans.
Habari zilizopatikana kutoka kwa chanzo chetu ambacho ni shosti wa
karibu na msanii huyo, zinasema tangu skendo hiyo iliporipotiwa
magazetini, amekosa amani na amekuwa mtu wa kujificha sana.“Amekwenda kwa shangazi yake India, amesafiri wikiendi hii kwa ndege ya Emirates, tena ili kukwepa macho ya watu ameondokea Zanzibar. Ile skendo imemchanganya sana,” alisema shosti huyo akiomba asitajwe gazetini.