Ya Dogo Janja, kijue kipaji chake kingine na usafiri wake.

998686_392826347504678_1276542401_n 
Tuna mastaa wetu kibongobongo ambao watu wengi hawafahamu walizaliwa lini + info zao nyingine ambazo ni ngumu kuzisikia mara nyingi, kwenye post za kila baada ya siku kadhaa tutakushushia biography fupi za watu maarufu wa hapa nyumbani Tanzania.

Ni rahisi sana kupata info za msanii wa Ulaya na Marekani zaidi ya wa hapa nyumbani ambao tupo nao kila siku, kwa leo acha Dogo Janja aanze….  unajua ana kipaji gani kingine zaidi ya ku-rap? movie gani anaikubali sana? hayo tu ni baadhi ya maswali…
Real name: Abdul-Aziz Abubakari Chende
Birthday :15/9/1993
Age: 19
Extra talent: Boxing,Kick boxer na Kong Fu
Idols: Nas Escober, Ordinally, Chalii mtoto wa bibi
Favorite Book: Vitabu vyote vya Shigongo
Favorite Movie: Apocalypto
Favorite TV Program: Entertainment news kutoka channel yoyote.
Fragrance: Mikausho tu, situmii yoyote kwasababu sinuki jasho
Favorite color: Black
Hangout places: Kokote masela walipo
Favorite food: Wali maharage (Ndondo)
Favorite drink: Maji
Cell phone: Nokia ya tochi na Black Berry Bold 4
Favorite designer: Martin Kadinda
Kundi analopenda: Jambo Squad
My favorite songs: Tukunyem by Jambo Squard
Ride : Piki Piki na Baiskeli
c

back to top