Video ya Godzilla ft Joti “Lakuchumpa”, Joti kafanya mambo yake ndani ya hii video.

joti 
Kuwa kati ya watu wa kwanza kuona video ya Lakuchumpa ngoma ambayo ipo kwenye mixtape ya Godzilla. Ngoma hii ndiyo ili kick sana na hivi leo Zizi ametoa video yake.
back to top