
Kinachoonekana
ni kwamba, BBA ni sawa na shindano la laana ambamo asilimia
kubwa ya washiriki wake ni wacheza filamu chafu au watu wenye
skendo mbaya....
Mshiriki
huyo ni mwanadada maarufu kwa jina la Pokello. Katika video hiyo
chafu, Pokello na njemba iliyojulikana kwa jina la "Desmond Chideme
" maarufu kama Stunner wanaonekana wakifanya ngono bila kutumia kinga.
Skendo
hiyo imewakera sana watu wa Zimbabwe kiasi kwamba wamelazimika
kutengeneza ukurasa wao maalumu wa facebook unaohamasisha kura
za kumng'oa mrembo huyo pindi atakapowekwa kikaangoni....
Video
hiyo ambayo ilirekodiwa kwa kutumia simu ya iphone na kubadilishwa
kwenda kwenye fomati ya avi ilivuja baada ya boyfriend wa pokello kuitoa
video hiyo na kumpa rafiki yake wa karibu huku akijisifu.
Mdodosaji wa mtandao huu amefanikiwa kuinasa video live baada ya mtandao wa youtube kuiondoa......
Kwa kuwa walijirekodi wenyewe, acha waumbuke .....