VODACOM WATWAA KOMBE LA USHINDI SEKTA YA MAWASILIANO MKOANI DODOMA

 
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd (kushoto) akimkabidhi kikombe cha ushindi wa kwanza cha kundi la Sekta ya Mawasiliano, Mkuu wa Vodacom Kanda ya Kati, Mruta Hamis wakati wa kilele cha maonesho ya kilimo ya Nane Nane Nzuguni Dodoma jana.

 
Mkuu wa Vodacom Kanda ya Kati, Mruta Hamis akiwa na kikombe chao cha ushindi wa kwanza katika sekta ya mawasiliano kwenye maonesho ya kilimo ya Nane Nane wakati wa kilele cha maadhimisho hayo kitaifa Nzuguni Dodoma jana.
(Picha na Mpigapicha wetu)
back to top