
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia jambo na baadhi ya wabunge wa Tanzania
katika Bunge la Afrika Mashariki waliomtembelea Ikulu jijini Dar es
salaam jana Agosti 7, 2013. Kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara ya
Ushirikiano ya Afrika Mashariki, Dkt. Abdala Juma Abdulla Saadalla.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wabunge
wa Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki waliomtembelea Ikulu
jijini Dar es salaam jana Agosti 7, 2013. Wa pili kushoto ni Naibu
Waziri wa Wizara ya Ushirikiano ya Afrika Mashariki, Dkt. Abdala Juma
Abdulla Saadalla.
(PICHA NA IKULU)
(PICHA NA IKULU)