HAYA NDIO MAMBO WALIOYAFANYA WAISLAMU JANA KATIKA KITUO CHA POLISI MOROGORO...
Waumini
wa dini ya kiislamu Manispaa ya Morogoro wakiwa katika ibada ya swala
ya adhuri eneo la kituo kikuu cha polisi mkoa wa Morogoro wakati
viongozi wa dini hiyo wakiwa na viongozi wa jeshi la polisi katika tume
huru ya jinai iliyounda na makao makuu ya jeshi hilo kuchunguza tukio la
kujeruhiwa
kwa Sheike Ponda Issa agosti 10 mwaka huu katika uwanja wa shule ya
msingi Kiwanja cha Ndege mara baada ya kumalizika kwa kongamano la
kidini la idd pili mjini hapa, kwa kitu kinachodhaniwa kuwa ni risasi.
Wakirukuu.
wakiwa wamefunga swala