
Baada ya umati wa watu waliohudhuria show ya Platnum wakirusha makopo
stejini baada ya Diamond kuchelewa kupanda hizi ndio sababu zilitajwa
kupelekea kuchelewa kwake.
mtandao wa kenya Ghafla umeripoti kuwa Diamond alichelewa kwasababu
alikua akijifanya "Diva" pale ambapo kwa maksudi alijichelewesha
Tanzania na hivyo kuchelewa ndege kuelekea Kenya.
Baada ya kuchelewa ndege Diamond alidai aletewe ndege binafsi (Private
Jet) na National Media Group (NMG) ambapo iliwabidi wafanye hivyo.
So you wonder what led to Diamond being delayed?Apparently the concert
was delayed because the 'Nataka Kulewa' singer was being a total diva.It
is said that Diamond deliberately stalled in Tanzania therefore
missing his plane to Kenya, he then demanded a private jet from the
Nation Media Group. NMG had to bend over backwards and charter a
private jet for the Tanzanian Superstar.
Mda mfupi baada ya Diamond kutua Mombasa aligoma ku-check in katika
hoteli aliyoandaliwa (Mombasa Beach Hotel) ambapo ndipo show ilipokuwa
ikifanyika na kusisitiza kuchukuliwa presidential suite White Sands
Hotel ambayo iliwagharim mkwanja mrefu NMG.
Baada ya mahitaji yake kukamilishwa ndio Diamond alikubali kupanda
stage, ila baada ya kukitifua mbaya stejini kama wa kweli kwa show na
perfomance ya hatari na kuwaacha watu wakiwa na historia isiyofutika leo
wala kesho, show ambayoinayoweza kuelezeka kama ya ki
legendary.Mashabiki walitulia na kuimba nyimbo zake mwanzo mwisho..
mtangazaji katika video hii badala ya kusema Nasibu Abdul yeye kasema Kassim lol