 |
| Kocha Wa Man United Sir Alex
Ferguson akiwa amemshikilia mwali Baada ya Kukabidhiwa Mwali JANA baada
ya kuichapa Swansea magoli 2 na kwa 1 na kumaliza ligi kuu ya Uingereza
Vizuri |
 |
| Sir
Alex Ferguson akibusu kombe kwa mara ya mwisho kwenye uwanja wa Old Traford |
 |
| Sir
Alex Ferguson ambaye hivi karibu ametangaza kustaafu kuifundisha Man U
akifurahi kombe na wachezaji wa Man United mara baada ya kukabidhiwa
kombe leo. |
Sir Alex Ferguson akinyanyua juu kombe la ligi kuu ambalo amelichukua
katika msimu wake wa mwisho wa ligi kuu ya uingereza na huu ndio msimu
wa Mwisho na Kombe la Mwisho kwa Sir Alex Ferguson
Huu ndio upendo wa dhati
 |
|
Wayne Rooney Akishangilia huku amenyanyua Kikombe Cha Ligi Kuu ya Uingereza mara baada ya kukabidhiwa kombe lao Jana. |
 |
Kikosi Cha Man U kikishangilia Kwa Shangwe za Kutosha Mara baada ya Kukabidhiwa Kombe lao
|
Sir Alex Ferguson akiwaaga
mashabiki wa Man U na wadau wa soka waliojitokeza kushuhudia mtanange wa
Man U na Swasea ambapo Man U imemaliza ligi Vizuri kwa kuitungua Swasea
Magoli 2 kwa 1 na hatimaye kukabidhiwa Kombe lao
Alama za Nyakati: Shabiki wa Man U
akionyesha Jinsi Jina la Kocha Sir Alex Ferguson lilivyonyambuliwa na
kutoa maana kama ambavyo linaonekana kwenye picha