
![]() |
| Baadhi ya Wasanii wa Filamu hapa nchini Wema Sepetu sambamba na shosti yake Kajala walikuwa ni miongoni mwa wasaani waliounga mkono matembezi hayo ya mshikamano yaliyokuwa yametawaliwa pia na mabango kadhaa yaliyobeba jumbe mbalimbali za kupinga wizi wa kazi sanaa. |

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,Dkt.Rehema
Nchimbi akiwakaribisha watu wote waliofika kwenye viwanja vya Nyerere
Skwea,tayari kwa kumpokea mgeni rasmi,Waziri Mkuu Pinda.
Baadhi ya magari yakiwa
yamesimama yakipisha matembezi ya mshikamano yaliyokuwa yakielekea
kwenye viwanja vya Nyerere Skwea mapema leo mchana.
![]() |
![]() |
| Baadhi ya Watangazaji wa clouds FM,sambamba na wasanii wa muziki wa kizazi kipya/tasnia ya filamu na wadau wengine wa sanaa wakiwa wamejumuika kwa pamoja kwenye viwanja vya Nyerere Skwea mapema leo mchana,tayari kwa kumpokea mgeni rasmi,Mh Waziri Mkuu Pinda. |

Mbunge wa Jimbo la Kinondoni na
Mdau mkubwa wa sanaa hapa nchini,Mh.Idd Azan akiunga mkono harakati za
kupapambana na maharamia wa kazi za sanaa hapa nchini

Gari ya Waziri Mkuu Pinda ikiwasili

Waziri Mkuu Pinda akisalimiana na
Naibu Waziri wa Habari,Vijana, michezo na Utamaduni,Mh.Amos Makala
habari,Michezo mara alipokuwa akiwasili kwenye viwanja vya Nyerere Skwea
mapema leo mchana mjini Dodoma.

Waziri Mkuu Pinda akisalimiana na
Mkurugenzi wa Vipindi na utafiti wa Clouds Media Group,Ruge Mutahaba
mara alipokuwa akiwasili kwenye viwanja vya Nyerere Skwea mapema leo
mchana mjini Dodoma.


Mmoja wa Watangazaji wa kipindi cha Jahazi,Wasi Wasi Mwambulambo akiserebuka na Mh.Rehema Nchimbi.
![]() |
![]() |
| Pichani kati ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt.Rehema Nchimbi,kulia mtangazaji wa Clouds FM Mbwiga Mbwiguke na Shaffih Dauda (shoto) wakitwibiwirika kwa pamoja mapema leo mchana mjini Dodoma kwenye viwanja vya Nyerere skwea. |
![]() |

Waziri
Mkuu Pinda akiwa katika picha ya pamoja na na baadhi ya Watangazaji wa
Clouds FM (wote waliosimama nyuma).Reedio Clouds FM imezindua msimu wake
mpya ulioitwa TWENZETU kwa minajili ya kuielimisha jamii kuwa na
tabia ya kupenda vya kwao na kutumia fursa walizonazo ndani ya MADE IN
TANZANIA kujikwamua kimaisha.






