Nakaya "Moja kati vitu ninavyojutia ni kurudisha kadi ya Chadema na kuingia CCM"
Nakaaya alikuwa kwenye interview ndani ya XXL, katika mengi
aliyoyaongea, moja ni kuhusu kurudisha kadi ya Chadema na kuhamia CCM."moja
kati vitu ninavyojutia ni kurudisha kadi ya Chadema na kuingia CCM,
najua nimebugi, lakini sio kama watu wanavyoongea kuwa nilipewa hela,
kama nilipewa hela si saa hii ningekuwa nakula bata, lakini wapi! mi
sijapewa hela.wanajuaje je kama nilitishiwa au vitu vingine kama
hivyo..najua hapo nilibugi.Niliingia kwenye siasa kwasababu ya ushawishi
wa watu, na nilishawishika kwasababu ya wimbo nilioutoa wakati hui "Mr
Politician" lakini baada ya kuingia, niliona kabisa this is not what i
can do, siasa ni mchezo mchafu na niliona vinani confuse" amesema
Nakaaya